Start Your Company in 2025
投放时间: 2024-12-31 08:00:00
Hii Ni Kwa Watu Wanaotaka Kumiliki Kampuni Zao 2025 Lakini Hawajaanza Bado…
Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama;
• Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu?
• Ni elimu ya kiwango gani niwe nayo ili niwe na kampuni yangu?
• Taasisi gani natakiwa kwenda ili kukamirisha usajiri wa kampuni yangu?
Bado hujachelewa kuwa CEO wa kampuni yako, kama unataka kumiliki kampuni yako 2025 SOMA MPAKA MWISHO.
Kwa mjibu wa kifungu namba 194 (1) sheria ya makampuni ya mwaka 2002 kila mtu mwenye umri kuanzia 21 na isiyozidi 70 anaouwezo wa kuwa CEO wa kampuni yake mwenyewe.
Kuna faida nyingi kufanya biashara chini ya mwamvuli wa kampuni iliyosajiliwa na kupata vibali vyote vya kazi unazozifanya, faida hizo ni pamoja na;
• Kuaminika na wadau wote wanaofanya kazi na wewe na wale wanaotarajiwa kufanya kazi na wewe siku za usoni
• Unaweza kupata mikopo kutoka kwenye taasisi mbalimbali pitia jina la kampuni yako
• Unaweza kuuza hisa kwa shareholders wapya na kupanua wigo wa mtaji wa kampuni
• Ni rahisi kufanya kazi mbalimbali na taasisi za serikali pitia kampuni yako
• Ni rahisi kushirikishwa kwenye deals na marafiki zako wa karibu kwasababu watakuona ni mtu mwenye utayari na mwenye nia ya mafanikio
• Ni rahisi kufanya usimamizi (compliance issues) wa kampuni kuliko mtu anaefanya biashara kama mtu binafsi (Sole proprietor)
Fuata hatua hizi ili uwe CEO wa kampuni ya ndoto yako.
• Kwa mjibu wa Sheria za makampuni ya mwaka 2002, lazima kampuni iwe na walau wakurugenzi kuanzia wawili na kuendelea.
• Kila mkurugenzi mtarajiwa lazima awe na kitamburisho cha uraia (NIDA) pamoja na TIN na kama siyo Mtanzania basi awe na passport ya kusafiria.
• Utafungua account kwenye system ya Brela (Online Registration System-ORS) kupitia
https://ors.brela.go.tz/ors
Baada ya hayo yote kuwa nayo kinachofuata mchakato wa usajiri wa kampuni uipendayo.
A. INCORPORATION (USAJIRI)
• Hakikisha unapendekeza jina ambao ulipendalo, lakini zingatia hilo jina unalopendekeza lisiwe limeisha tumiwa na mtu mwingine kwenye system ya Brela.
• Katika hatua hii hakikisha documents zifuatazo uko nazo mkononi mwako.
• Memorandum and articles of Association ya kampuni uliyopendekeza
• NIDA (Kwa kila mkurugenzi mtarajiwa)
• TIN (Kwa kila mkugenzi mtarajiwa)
• Barua pepe, namba ya simu, anwani ya kudumu (Kwa kila mkurugenzi mtarajiwa)
• Hati ya kusafiria (Mkurugenzi asiye mtanzania)
B. TIN REGISTRATION
Katika hatua hii utatakiwa kuwa na documents zifuatazo.
• Mkataba wa ofisi uliofanyiwa makadirio na TRA
• Barua ya serikali za mitaa
• Passport size mbili za wakurugenzi
• Hati ya usajiri wa kampuni kutoka Brela (Certificate of incorporation)
C. BUSINESS LICENSE
Kuhusu leseni ya biashara itategemea ni aina gani ya biashara kampuni yako inaratajia kufanya. Mfano kwa Leseni zinazo tolewa na manispaa zinapatika online kupitia system yao itwayo TAUSI (
https://tausi.tamisemi.go.tz
). Katika hatua hakikisha documents hizi uko nazo.
• Tax clearance
• Memorandum and articles of Association
• Mkataba wa ofisi uliofanyiwa makadirio na TRA
• Hati ya usajiri wa kampuni kutoka Brela (Certificate of incorporation)
• Cheti cha kuzaliwa (mmoja wapo wa wakurugenzi)
Baada ya kupata leseni ya biashara unayotaka kufanya, sasa uko tayari kuanza kukusanya pesa pitia kampuni yako pendwa.
By the way………. Ni kama bahati kwako……….
Kwa Mara ya Kwanza na ya Mwisho... Utaweza Kupata usajiri wa kampuni yako Kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 499,990 Tu
"Ndio ni Tshs 499,990 Tu"…”Badala ya Tshs 1,000,000”…”Na utakuwa umeokoa Tshs 500,010…”
Najua Utajiuliza inawezekanaje nimetoa OFA Kubwa Kiasi Hiki?....
Ukweli ni Kwamba nimetoa OFA Hii KWASABABU Kubwa Mbili...
1. Kwasababu ndo tunauanza mwaka mpya 2025…Hivyo ni special offer kwa watafutaji
2. Kwasababu hii huduma huenda usiione tena sokoni kuanzia February 2025…Kwasababu ndo mwezi tutakuwa tumeanza kazi za audit za wateja wetu.
Katika offer hii utapata vitu hivi kama ziada.
• Utapata ushauri wa kodi BURE kwa kipindi cha miezi sita ya mwanzo.
• Tutakusaidia kufile Brela return BURE ya kampuni yako kwa mwaka wa kwanza
• Utapewa mafunzo BURE ya namna ya kusimamia mambo yote ya kodi kwenye system ya TRA (Taxpayer Portal)
Ili kupata huduma hii tuma ujumbe sasa hivi kwenda 0752187434 au info@halaconsultants.co.tz. Offer hii ni kwa watu 15 tu ndani ya masaa 24, na itafanyika mara moja kwa mwaka.
搜索关键词 company registration Tanzania, start business Tanzania, BRELA registration, HALA consultants, business license Tanzania, register company 2025, Tanzania business registration offer, Tanzania company formation, low cost company registration, entrepreneurship Tanzania优势 Assistance with company registration,Guidance on legal requirements,Special offer price,Tax advice for 6 months,Free BRELA return filing for the first year,Free training on tax management system
展示估值
542961
热度
44923
最新发现时间
2024-12-31 08:00:00
投放天数
210
素材信息
素材类型
素材尺寸
主页ID8289873642117848293
主页名字HALA Consultants
产品信息
适用范围
人民币汇率走势
CNY
关注我们

新媒网跨境发布
本站原创内容版权归作者及NMedia共同所有,未经许可,禁止以任何形式转载。

粤公网安备 44011302004783号 



