arbitration
Huu mwaka naskia tu kufocus na mambo ya arbitration, mediation na life coaching just to detox. Lakini huu mwaka pia clients wa child maintenance mkae mkijua mtu akisema, "I am not the father," mimi mwenyewe nitalipia hio DNA test. Mwenye kutubeba ufala atanirudishia plus inconvenience f£€ 🌚.
Huu mwaka sijiskii ata kupanda ndege. Huwa sifrahii vile pilot hupiga ile kona ya kuingia CDG 💀🤡🤭😅